Msaada wa kujua uhalali wa telefree na ukweli wake

Msaada wa kujua uhalali wa telefree na ukweli wake

FIFA

Member
Joined
Dec 7, 2011
Posts
71
Reaction score
14
Kuna watu wana hamasisha watu wajiunge kwenye huu mtandao wa TeleFree (DSM,MWZ & ARUSHA HII KITU IPO ) binafsi bado sijaujua vizuri.
Ili kujiunga unatakiwa utoa USD 400.00 au USD 1,600.00 na zaidi.Hizo pesa unampatia muwakilishi wa hiyo kampuni ili azitume kwa wahusika then ana kuandikisha.Ukisha andikishwa kazi yako ni ku post adverts kwenye link ambazo utakuwa umepewa na wenye kampuni, kila siku utatakiwa u post adverts 5,then mwisho wa wiki unalipwa kulingana na deposit yako. Kwa mfano kama uli deposit USD 1,600.00 So kila wiki utalipwa USD 200.00.Na unaingia mkataba wa mwaka 1 ila waweza ku renew.Wao wanasema AJIRA NDANI YA MTANDAO.Jamani msaada wa haraka watu wanachukuliwa PESA zao.Tafadhali changieni tupate ukweli
 
Back
Top Bottom