Msaada wa kujua TZ radio stations

Msaada wa kujua TZ radio stations

Mawenzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,251
Reaction score
347
Za Jpili wana JF!!!

Tafadhali sana naomba mnijuze Radio Stations za Tz ambazo naweza kuzisikia online!!

Ahsanteni in advance!!
 
Za nini? hazina chochote cha kustahili kusikilizwa

Ujue ukiwa nje ya nchi..hata ukisia sauti ya mdada akiongea radioni,au jamaa wanaongea kiswahili, inakupa stimu sana....so we ukisema cha nini,mwenzako anasema atakipata lini.
Think!!
 
Back
Top Bottom