AndrewThegent
Member
- May 6, 2013
- 20
- 6
Wanajukwaa leo nimekuja na shida. Nilipotelewa na vyeti vyote vya elimu, hati ya kusafiria na cheti cha kuzaliwa. Vilipotea mwaka jana nilifanikiwa kutaarifu polisi.
Nikapata kiapo cha mahakama pia loss report. Lakini pia nina original scanned soft copies. Sasa swala langu kuu ni kwamba nnataka kuanza kupata cheti kimoja kimoja. Sijui wapi pa kuanzia. Nakuja kwenu wanajamvi mnisaidie nin na wapi cha kufanya.
Asanteni in advance.