Msaada, nina vyeti viwili vya kidato cha nne. Necta wanaweza kuunganisha na kupata cheti kimoja?

Sep 3, 2023
11
11
Wadau na watalaam wa masuala ya elimu, NECTA wanaweza kuunganisha cheti cha kwanza na cha pili ni cha kureseat mtihani na kupata cheti kimoja?
Kama inawezekana nianzie wapi ili niweze kusaidiwa? Karibu.
 
We jamaa hamnazo,mimi nina vyeti saba vya kidato cha nne na vitatu vya kidato cha sita,naamini nakuzidi maisha kwa vyovyote iwavyo,cheti kimoja au kumi haijarishi,acha dharau kijana
Sio rahisi kunizidi boss na madesa Yako. Mimi ni fom foo felia Nina ng'ombe 38, nyumba 1, pkpk 1, shamba ekari 20 na kuku 200
 
Sasa hizio ngozi ndo zakulinganisha na mimi,eti pikipiki moja ,punguza dharau kwa watu wewe
Sio rahisi kunizidi boss na madesa Yako. Mimi ni fom foo felia Nina ng'ombe 38, nyumba 1, pkpk 1, shamba ekari 20 na kuku 200
 
Back
Top Bottom