Msaada wa kujua bei ya cement

Msaada wa kujua bei ya cement

Mangii

Member
Joined
May 3, 2012
Posts
52
Reaction score
3
Wana jamii habari nataka kuanzisha biashara ya kuuza Cement kwa anayejua bei ya cement kiwandani bei ya jumla,au kama kuna sehemu naweza pata kwa bei nzuri na mimi nije kupata angalao faida kidogo kwa anaye fahamu plz anisaidie
 
Back
Top Bottom