Msaada wa kujivua gamba tafadhari

Kaka naomba unijibu,Kati yako na yeye ni nani alikuwa wa kwanza kumtamkia mwenzie juu ya hisia za mapenzi(yaani nani alianzan kutongoza mwenzake?)katika jibu lako kama ni wewe kwa kweli ndugu wafanya vibaya maana tamaa iliyokuongoza kumtongoza na kumpata huyo ndiyo hiyo hiyo itakupeleka kwa mwingine na kisha naye utajisikia hayuko moyoni mwako na utataka mwengine,sa hapo si utakuwa ujitakii maisha ndugu yangu ?????umechakachua weeeeeeee sasa hivi ndo unaona hayuko moyoni.AAcha hizo Dunia imevaa nepi........dunia inaharisha......take care!!!!!!!!!
 
oaga mwayego,
kama humpendi haimati sana ndoa chache zinaongozwa na upendo ambao nao huja na kupotea!
ili mradi ana vigezo vingine vyote unavyovitaka,eg msafi,mtiifu etc hilo la kumpenda wewe sidhani kama litaafect chochote........
 
sio mara zote tunaoa na kuolewa na mtu mkamilifu i mean unayeona ana vigezo vyote,mambo mengine unajifunza kucompromize....kama hakupi taabu,mambo yake yanavumilika i mean unaweza kuishi naye......then muoe,hicho cha kumtompenda hakiwezi kukuletea taaabu...kwanza ndoa nyingi kwa sasa hazina upendo i mean zinaaanza na upendo ila unakuja kupotea mfano mama akizaa,au mume akibadilika na kuwa mlevi...upendo unapungua ila watu hawaachani...so mie naona muoe tu...ukichunguza ndoa nyingi hazina huo upendo unaousema.:mod:
 
Kama unajua hayupo moyoni mwako ulimtongoza wa nn? Hebu mwambie mwenzako ukweli japo ataumia sana ila atleast kujua mapema itamsaidia kuliko kupoteza mda wake kwa mtu ambae hana future nae
 
Wengi wamekuambia ilikuwaje ukamtokea wakati humpendi, na sasa unatafuta uhalali wa kumuacha, kisichokupendeza kwake ni nini? kumbuka kwamba unachotaka kumfanyia ujue kitakupata na wewe siku moja. Halafu mzee inaelekea unadharau kweli mpaka unasema eti kujivua gamba yaani mwenzio anakupenda wewe unasema kujivua gamba, yaani mapenzi wewe unaita gamba.
Lakini juu ya yote hayo mwambie ukweli sooner than later, ili usimpetezee mda.
 
the problem is not you bt the kind of relation that u raised ur love relationship. It was fratuation love, ile we say unapenda kwa kasi na unaacha kwa spid ile ile. Pole mkubwa!
 
Habari wana JF
Hapa nilipo nina mpenzi wangu ambaye tuna miezi 8 sasa tokea tumeanza urafiki wetu. Huyu mpenzi wangu ananipenda sana lakin mimi moyoni mwangu hayumo kabisa, najitahidi kila mara angalau kumkasirisha nikidhani labda anaweza aka give up lakin wapi, shida yeyote nayoipata yupo mstari wa mbele kunisaidia. Sasa kila nikitaka kumwacha nashindwa maana naona ntamuumiza sana bint wa watu na nikisema niendelee naye nifunge ndoa nashindwa maana moyoni hajakaa kabisa
Naombeni msaada wana JF jinsi ya kujivua gamba kwa huyu binti

pole sana ndugu,mvumilie tu si mwanzoni ulimpenda? endelea nae hivyo hivyo kigumu
 
Pole sana ndugu, mvumilie tu si mwanzoni ulimpenda?endelea nae hivyo hivyo kigumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom