Msaada wa kuifanya OFFICE 2013 PROFESSIONAL PLUS kuwa activated

Kitimoto

JF-Expert Member
Aug 25, 2012
274
195
Mwenye crack/patch za Office 2013 Professional Plus ama mbinu ya kuifanya iwe activated naomba anisaidie.
 
Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,697
1,250
Kipindi hiki jamaa wako makini. Ni kweli unaweza kufanikiwa sasa hivi,ila baada ya dakika tano tu,mtu mwingine akijaribu kutumia njia hiyo anakwama,jamaa wanakuwa wameishaziba.Tena hasa keys ndio kabisa,itatumika sasa hivi,lakini ukijaribu kutumia mara ya pili unakuta wameishablock.Tangu waanze kutumia utaratibu wa online activation imekuwa shida kweli.

Anyway,hata mimi natumia unactivated version,najua one day watalaamu watakuja kivingine so wote tutaactivate na tutaendelea kula goodtime kama tulivyozoea!
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,336
2,000
haina starter pack hio office 2013? Sioni umuhimu wa kua na activated version uhangaike wakati shida yako ni word na excel tu hivyo vyengine hutavitumia
 
e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
225
Kwa wanaotaka kuactivate fanyeni fasta key inayokubali ambayo haiko backlisted for now ni

3GH3B-WN8RD-44QMH-2C86F-KBQ6X

But ina kubali only thru phone activation now nko available so I can help you kupiga thru skype, cha kufanya ukishaweka iyo key chagua phone activation then nitumie id's zako.. Then I will provide you with confirmation id.
 
ID yangu ni 0680456 3236042 9195601 3898861 8352452 6306992 7493904 7621305 5315285
 
NingaR

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
2,771
2,000
Kwa wanaotaka kuactivate fanyeni fasta key inayokubali ambayo haiko backlisted for now ni

3GH3B-WN8RD-44QMH-2C86F-KBQ6X

But ina kubali only thru phone activation now nko available so I can help you kupiga thru skype, cha kufanya ukishaweka iyo key chagua phone activation then nitumie id's zako.. Then I will provide you with confirmation id.
View attachment 72943
HAPO TUNAFANYEJE MKUU? RUNING 64Bit
 
NingaR

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
2,771
2,000
Mkuu iyo ni final version au preview? Coz zidhani kama key kwenye 32 bit igome kwenye 64 bit.
ni final mkuu ni windows 8 pro 64Bit na Office 13 ni 32Bit au hapo ndo patakua na shida?? kama ni 64Bit vyote viwe 64Bit???
 
e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
225
ni final mkuu ni windows 8 pro 64Bit na Office 13 ni 32Bit au hapo ndo patakua na shida?? kama ni 64Bit vyote viwe 64Bit???
Duh mie nilijua una maanisha office 64 bit... Kama ndo ivyo na mshaka na iyo version.. Kuna version pro plus,vl na vsio.. Chk vizuri yako ni ipi. Iyo key ni for microsoft office 2013 pro plus tu.
 
NingaR

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
2,771
2,000
Duh mie nilijua una maanisha office 64 bit... Kama ndo ivyo na mshaka na iyo version.. Kuna version pro plus,vl na vsio.. Chk vizuri yako ni ipi. Iyo key ni for microsoft office 2013 pro plus tu.
p13.PNG
hapo vp?
 
NingaR

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
2,771
2,000
Ok maybe jaribu kuweka the key kule kwenye program features kama unataka ku unistall right click na chagua change, then chagua put product key, then weka hapo, alafu tuone itakuaje pia.

MKUU STILL HALI ILEILE MAYBE NICHANGE NIWEKE YA 64Bit
13KEY.PNG
 
NingaR

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
2,771
2,000
Mimi nadhani ndio maana kuna 32 na 64bit kwa both. Nakumbuka kwenye W7 softwares za 32bit nyingi zilikuwa hazirun kwenye 64bit.So,mi naona ungeweka tu 32 kwa 32bit na 64 kwa 64bit.
Mkuu iyo ni final version au preview? Coz zidhani kama key kwenye 32 bit igome kwenye 64 bit.
OK ngoja nifanye hivyo then ntarudi kwa feedback, Shukran Mkuu
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,336
2,000
mi nimejaribu kuinstall office 2013 haijanidai key wala chochote au ukiactivate windows8 na kms haidai kitu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom