Msaada wa kufungua simu

Msaada wa kufungua simu

spade4spade

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
2,207
Reaction score
2,158
Hi members,

Nina simu zangu nilikuwa natumia marekani kwa lainj za huko. Ni LG Optium L70 na Alcatel, zote hazizitambui laini za mitandao nchini, naomba msaada kwa anayejua kuzifungua tafadari.
 
Mwl.RCT
 
Last edited by a moderator:
Hi members,

Nina simu zangu nilikuwa natumia marekani kwa lainj za huko. Ni LG Optium L70 na Alcatel, zote hazizitambui laini za mitandao nchini, naomba msaada kwa anayejua kuzifungua tafadari.
mw1rct_SPADE.png

Taarifa mbili zinatakiwa ili kupta unlock codes & Bei ya kila moja
  1. IMEI number
  2. Network Locked
Waweza ni PM hizo info. au andika kwenye hii Thraed hapa
>>| https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/515251-huduma-unlocking-phone-by-imei-number-9.html |<<

KARIBU
 
Back
Top Bottom