King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,757
- 1,541
Salaam wote
Nataka nifungue kanisa wakuu church and charity that helps many out there...
tupeane code wawakilishi wa makanisa ya kiroho, nataka niwafundishe watu wa mungu mambo mengi mazuri nikiwa mteule na kiongozi, nipo kwa ajili ya kuongoza watu walio wekwa vizuizini.
Kama kuna vibali na procedures za kuanza naombeni mwongozo wenu nyie watoaji vibali, bodi inayothibitisha makanisa ya kiroho.
Kanisa langu litalenga kusaidia wasio jiweza matatizo madogo madogo, nitatoa chakula, fedha kidogo za kujikimu, there we go....mimi nalenga kufanikiwa na kusaidia wengi.
Nipo dar es salaam