Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,592
- 95,246
Wakinga sisi waaminifu sana kwenye pesa πΉπΉNakushauri
π Mafundisho yako yawalenge kina mama na dada zaidi
π Jitahidi waumini wakija ibadani wawe smart na wenye mvuto
π Jitahidi shuhuda zako ziwe ni shalom mama, shalom baby girl π kama wa kiume sijui itakuwaje hapo π€
Shuhuda ziwe mtumishi nimepata gari, visa, nimeokota mamillion, ninekuta account Ina million ishirini,
Ujue kuwapanga vzr,
cc Lamomy anakuwa mkusanya sadaka