Msaada wa kufunga ndoa

Msaada wa kufunga ndoa

buget yako ndo itakuguide
location
vinywaji utakavyovitaka
vyakula utakavyotaka
decoration
Mc unayemtaka
kaka unatokea mkoa gani coz kama ni northern zone jiandae kulaumiwa bora uifanyie mjini
Ahsante mkuu kwa ushauri wako hii ndoa itafanyikia mkoa wa ruvuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa ukumbi kwa lakitano hiyo mlion 4 inatosha sana vinywaji na chakula kwa watu 100 ndo vitakucost km milion 2 mc na mapambo laki 4 camera video picha na muziki kama laki 6 milion 4 imeisha hapo bado usafiri sasa km ukitaka itoshe bania kwenye msosi upate ela ya usafiri au ongeza kidogo pesa
Ahsante mkuu nimekupata vizuri sana kwa mchanganuo wako kuhusu swala la usafiri ni nje ya mil 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan nn utuzalau hutaki tuchange?? Kwaiyo umeamua kuita watu wachache tusile ubwabwa??

Acha uchoyo tuna pesa zetu hiyo hali unayoisema tz sisi haituhusu tutakuja na mbege zetu

unalinga wewe mtoto wa massawe hii haikubaliki

ahaaa mkuu natania nawaza kama unatokea huku kwetu kolomije inavyokuwa. Watu wana mind sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nipo nje ya nchi sasa hadi nirudi naona muda utakua umeenda sana sasa niliona watu kunichangia itakua shida kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante mkuu kwa ushauri wako hii ndoa itafanyikia mkoa wa ruvuma

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa ndugu uko c ujiachie tu uwanjani na wanakijiji wenzako sufuria 3 za pilau na soda creti 10 watakukumbuka milele buget nyingine iamishie kwenye kuvunja kamati mfanye mambo ya kizungu be proud na mambo ya home uwe na memory nzuri
 
Mkuu hiyo itakua sio nzuriii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom