Msaada wa kufunga ndoa

Msaada wa kufunga ndoa

Hiyo sherehe unataka kuifanyia wapi. na jee huyo unae muoa ni mtanzania ama?
Mara nyingi harusi za watu ambao sio watanzania mara nyingi huwa hawashangishani.
Niliwahi kushuhudia harusi moja, mdada alialika marafiki zake kutoka US, sasa wakati harusi inaendelea MC akatangaza ni mda wa kutoa zawadi, akaanza kuita watu. bibi harus alipigwa na butwa kwani hakutegemea.......
Nini kilijiri
 
2500 x 100=?
Ukumbi 800,000
Juice or soda
kreti tano x11500 ==?
Upambaji 150,000-200,00

Hapo tafuta na usafiri baasi.
 
Nimetolea mfano, sijamwambia anialike. ila huo ndio ukweli nikichangia Harusi, kama hakuna hiyo kitu sahau kuniona kabisa
Sherehe inapangwa na wenyewe...kama muoaji na muolewaji wanataka hiki au hawataki kile, nafikiri inakuwa rahisi kujua utaratibu.

The Great Gatsby
 
Back
Top Bottom