Msaada wa kucrack word document Ikiwa na password naomba msaada

janeth cute

Member
Nov 22, 2014
12
0
Jamani naulizeni namna ya kuondoa password ya document ya word.

Niliweka password na nimeisahau ......mwenye kuweza jinsi ya kucrack anisaidie wanajamii forums
 

janeth cute

Member
Nov 22, 2014
12
0
Jamani wanajamii forum naombeni msaada namna ya Ku crack word document iliyo na password.

Kwa yeyote anaejua namna ya kuondoa password naombeni mnisaidie...

by janeth cute to all jf members
 

Kyenju

JF-Expert Member
Jun 16, 2012
4,561
1,500
Jamani naulizeni namna ya kuondoa password ya document ya word.... niliweka password na nimeisahau ......mwenye kuweza jinsi ya kucrack anisaidie wanajamii forum.......@ all jf members
Inawezekana ku-krack, lakini yanipasa kwanza nijiridhishe kuwa hiyo document niya kwako. CC janeth cute
 
Last edited by a moderator:

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,640
1,225
Google MS document password blocker, download, fanya mambo...mm napataga nyingi hasa za PDF, huwa nagoogle tu kisoftware
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom