Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Ila hatuna uhakika.. M pm namba yako then utuletee feedback.Khaaaa sina hamu kumbe kuna matapeli humu?
Ila hatuna uhakika.. M pm namba yako then utuletee feedback.Khaaaa sina hamu kumbe kuna matapeli humu?
duuh shemej tayari kishaumbuliwa? waongo wa siku hizi wepesi sana kusahau.hahahhh shemej uyu angekufaa ila nimeona watu wametoa thread zake za nyuma kuwa ni mwanaume sijui
Yule nae kaumbuliwa kule Mmu kwenye sredi ya kyupi alichomnunulia boss wake. Jf burudani sana.Ha ha ha yule @ miss natafuta si alikuwa anatafuta? Aje achukue kidume hicho ahha
Karibu Jf.![]()
![]()
![]()
uwiiiiiii basi sitaki khaaaaa
Nah! Only girls.
Wakaka mna tabia mbaya
Angalia usije karibisha dume kwenu. litawalamba wote![]()
![]()
![]()
![]()
dume?
Toka 2007 wewe ni member wa JF, halafu unaenda chuo leo usoma Diploma...!Mimi ni mdada nimepata chuo hapo Ustawi.
Sasa natafuta mdada au mwenyeji hapo DSM.
Nimeshindwa kulipia hosteli ila pesa ya kula haitanipiga chenga.
Nashukuru!
NB: Ambaye anaweza kunibeba ni lazima awe mdada. (Wakaka am sorry)
Natokea Arusha.
So PM me nitakupa my namba.
fusa hiyo mkuu changamkaKaribu Jf.
Toka 2007 wewe ni member wa JF, halafu unaenda chuo leo usoma Diploma...!
Acha urongo
Hahaa ngoja vijana wapambane kwanza mkuu.fusa hiyo mkuu changamka
Jaribu tu afu utuletee matokeoMmeanza niiogopesha mjue maana kama ni dume je ? Mmmh
Hii ni account yake nyingine kaja kuzugia nayo tu....Tushakushtukia mjomba....![]()
![]()
![]()
uwiiiiiii basi sitaki khaaaaa
afu wazee tunaenda baadae si ndio eeh? safi sanaHahaa ngoja vijana wapambane kwanza mkuu.
Nasma mambo?Kwa kua yule ray nani sijui alikataa ombi langu,basi ntaanza rasmi kukufukuzia we mtoto mleta uzi,napenda sana kulaga 0713 zenu
Ngoja tumwambie alete picha zakeSi anasoma hizi comments basi ascreen shot vyeti vyake barua na matokeo yake nitamsaidia kumuombea kwa rafiki yangu asipofanya hivyo sitomwamini maana humu matapeli wengi
Huyu naye mwanamke au mwanaume? Jf jamani noma mtu haijulikani mwanamke au mwanaumeNasma mambo?
Yeah kimya kimya.afu wazee tunaenda baadae si ndio eeh? safi sana