Msaada wa 'kubebwa' hostel Ustawi wa Jamii

Msaada wa 'kubebwa' hostel Ustawi wa Jamii

Na usaili umeanza Leo mwisho ijumaa na ole wake akawa muongo maana sio kupakazia umechaguliwa ustawi wa jamii kumbe uongo kazi kuiletea shombo chuo chetu
 
Umejizibia riziki kwa kutuzuia wakaka, mimi ningelikukaribisha kwangu na room mbili na sebule na jiko na niko pekee yangu.
 
I will pay for your accomodation ,is that ok with u?
 
Back
Top Bottom