Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,032
Msaada utapata kwa wanaume ila hakunaga cha Bure siku hizi
Ngoja nikuiitie huyu alikua anatafta mdada wa chuo ili amsaidie Cc Miss Natafuta
Nilijua tuu ni lidume hili.Kwanini wadada wengine mnapenda kulazimisha mambo?
Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Black Bat, Jan 3, 2015.
Watch Thread
Page 1 of 3
123
![]()
Black BatJF-Expert Member
#1
Jan 3, 2015
Joined: Oct 4, 2007
Messages: 3,457
Likes Received: 481
Trophy Points: 180
Stori yenyewe ni hivi. Nina my girlfriend wangu toka muda sana ananilazimisha na kuniomba tujaribu kinyume na maumbile , ila kiukweli mimi sitokuja kufanya hii kitu kwa sababu kwanza sidhani kama nitaridhika na kutokana na Mungu alivyonijalia mimi sio [HASHTAG]#teambamia[/HASHTAG] kwa hio obviously nitamuumiza mlengwa.
Ila huyu msichana wangu haangalii hilo, sasa mimi nilishapanga kuwa mimi na yeye mwisho ni mwaka jana nikamwambia na yeye akakubali. Alikuwa na mtindo wa kuja kwangu kila jumamosi mida ya saa tano sita.
Leo mimi nikaja na mzigo wangu (ambaye ni rafiki yake ) ndani tumelala na mlango sikufunga kwa sababu najiamini niliudishia tu.
Kushangaa naona mlango unafunguliwa na anaingia huyu ex wangu ambaye tumeshapeana bye bye.
Namuuliza umefuata nini?
Anaondoka kimya kimya.
Nimfanyeje huyu mdada na wakati tulishamalizana naye toka mwaka jana kutokana na hitaji lake ambalo mimi silitaki kulitimiza?
We endelea kujifanya mwanamke tu..,Wenzio kina rayyoungr walianzaga hivohivoUnataka nixeme mimi ni demu?mxiu
Mods piga ban huyu..Kwanini wadada wengine mnapenda kulazimisha mambo?
Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Black Bat, Jan 3, 2015.
Watch Thread
Page 1 of 3
123
![]()
Black BatJF-Expert Member
#1
Jan 3, 2015
Joined: Oct 4, 2007
Messages: 3,457
Likes Received: 481
Trophy Points: 180
Stori yenyewe ni hivi. Nina my girlfriend wangu toka muda sana ananilazimisha na kuniomba tujaribu kinyume na maumbile , ila kiukweli mimi sitokuja kufanya hii kitu kwa sababu kwanza sidhani kama nitaridhika na kutokana na Mungu alivyonijalia mimi sio [HASHTAG]#teambamia[/HASHTAG] kwa hio obviously nitamuumiza mlengwa.
Ila huyu msichana wangu haangalii hilo, sasa mimi nilishapanga kuwa mimi na yeye mwisho ni mwaka jana nikamwambia na yeye akakubali. Alikuwa na mtindo wa kuja kwangu kila jumamosi mida ya saa tano sita.
Leo mimi nikaja na mzigo wangu (ambaye ni rafiki yake ) ndani tumelala na mlango sikufunga kwa sababu najiamini niliudishia tu.
Kushangaa naona mlango unafunguliwa na anaingia huyu ex wangu ambaye tumeshapeana bye bye.
Namuuliza umefuata nini?
Anaondoka kimya kimya.
Nimfanyeje huyu mdada na wakati tulishamalizana naye toka mwaka jana kutokana na hitaji lake ambalo mimi silitaki kulitimiza?
Mtu kama huyu sijui lengo lake ni nini!?Kumbe Jamaa dume! Aisee!
Kwa umri wake na utumbo alopost... ni muhim aadhibiwe.Mods piga ban huyu..
Afu jamaa yupo JF kitambo sana tu .
Mods fanyeni kazi
hahahhh shemej uyu angekufaa ila nimeona watu wametoa thread zake za nyuma kuwa ni mwanaume sijuiShemej mwambie aje nimbembe huyu.
Siyo mdada huyo ni dume na midevu tele!!Dahhh pole sana Dada mm mwenyewe nipo dar kwa wazazi nimechaguliwa hapo hapo ustawi wa jamii ningependa kukuchukua ila tatizo sitokaa home nitakaa kwa Dada jamani pole ngoja niongee na rafiki yangu akikubali nitakwambia ukakae nae maana wote ni school mate
Watu wameshamuumbua! Pitia postshahahhh shemej uyu angekufaa ila nimeona watu wametoa thread zake za nyuma kuwa ni mwanaume sijui
dume?Njemba hiyo ngoja itakuja iwatafune wote na dada ako.Dahhh pole sana Dada mm mwenyewe nipo dar kwa wazazi nimechaguliwa hapo hapo ustawi wa jamii ningependa kukuchukua ila tatizo sitokaa home nitakaa kwa Dada jamani pole ngoja niongee na rafiki yangu akikubali nitakwambia ukakae nae maana wote ni school mate
Wewe usijaribu..Dahhh pole sana Dada mm mwenyewe nipo dar kwa wazazi nimechaguliwa hapo hapo ustawi wa jamii ningependa kukuchukua ila tatizo sitokaa home nitakaa kwa Dada jamani pole ngoja niongee na rafiki yangu akikubali nitakwambia ukakae nae maana wote ni school mate
Njemba hiyo ngoja itakuja iwatafune wote na dada ako.
uwiiiiiii basi sitaki khaaaaaHa ha ha yule @ miss natafuta si alikuwa anatafuta? Aje achukue kidume hicho ahhaNjemba hiyo ngoja itakuja iwatafune wote na dada ako.
Khaaaa sina hamu kumbe kuna matapeli humu?Wewe usijaribu..
Huyu ni mwanaume yupo jf toka 2007. Miaka ningapi?
Dume hiloo.......![]()
![]()
![]()
![]()
dume?