Msaada please
Phy-E Chem-D Bio-D nisome programme gani ambayo nitafanikiwa kupata mkopo kirahisi na ina soko kubwa la ajira.
Mapendekezo yako mkuu tunayahitaji
Hint.
Ualimu sitaki kusoma.
Sokoine mfumo wenu wa kuapply online sio rafiki kabisa waambieni ma IT wenu warekebishe hauna maelezo ya msaada yani vuluvulu kama umekosea password imekula kwako.. Mnawachanganya vijana
SUASIS haieleweki jamani hebu waige kwa wenzao wanadaresalaam ARU na UDSM wapo clear na systematic . Kulikoni SUA mnatuaibisha jamani vyuo vyetu vya umma