Msaada wa kuandaa barua ya kubadilishana kituo.

mbikichooo

JF-Expert Member
Feb 3, 2017
265
144
Bila shaka hatujambo humu, Niko na shida ya mahitaji ya barua ya kubadilishana kituo( particulars) ni vitu gani hasa huambatanishwa, na pia nianzeje (steps) tafadhali kwa yule aliyewahi kuandika msaada please, hasa katika kada ya ualimu, ahsanteni.
 
barua yako iwe na anuani saba.

1. anuani yako
2. (barua ielekezwe) mkurugenzi unakohamia

ipitie kwa

3. mkuu wa idara unayohamia
kk
4. mkuu wa shule alipo unayebadilishana nae.

kk.
5 mkurugenzi unakogoka
kk
6. mkuu wa idara yako

kk
7. mkuu wa kituo chako.


Yah: ombi la uhamoshi.


ukimaliza na yule mwenzako aandike hivo, lakini anuani kinyume chake.


MTU 1, ukisainiwa na viongozi wako peleka kaw halimashauri unayoomba kuhamia, au kama nbali scan na umtumie mwendako, mtu2 nae akuzungushie kwa viongozi wake. ikisainiwa pote,

mkurugenzi wa unakohamia atakwandikia barua ya nafasi IPO au haipo kupitia kwa mwajiri wako.

kama nafasi IPO, mwajiri wako atamwandikia Katibu mkuu tamisemi, kk ras kumuomba upafiwe kibali.


kama hujaelewa weka namba yako nikupivie au itume pm
 
Back
Top Bottom