Msaada wa ku Update Software ya Samsung note 9

lucasm00

Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
48
Reaction score
42
Nimenunua simu aina ya samsung note 9 lakini software yake ni ya zamani sana nawezaje ku update


 
Relax utapata updates with time. Ila tambua kuwa kwakuwa ni simu zilizoanzaga 2018 ina maana zitaishia android 10 hazitofika android 11.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Simu yako inayo custom rom hivyo huwezi ku update. Hapo ni kutoa hiyo rom kisha weka official rom ya samsung.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…