Msaada wa ku Update Software ya Samsung note 9

Kinyume na sheria ni kubadili Imei number tu. Kuflash sio kosa.
Mm ndio nnavyojua hvi. Hata yule fundi aliyepelekwa mahakamani ni kwasababu alifungulia blocked phones kwa kubadili imei number


Nilitaka kushangaa, ina maana Samsung repair centres na Carlcare hapa bongo wanavunja sheria. Maana wanaflash simu kila siku
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo nan kaleta

Watu tunakmbilia ubora unakutana na wajinga wachache wanayulostisha
Yaani uhakika wa flagship ambayo sio refurbished ni kununua wakati ndio imeingia sokoni. Wabongo wengi sio wakwelk. Mtu anakuuzia refurbished za china alaf anakwambia ni mpya

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom