Msaada wa ku-update hiki kifaa

feelsam

Member
Jan 13, 2017
92
36
Wanajf naombeni msaada wa jinsi ya ku-update hiki kidubwana kwa anayejua anijuze tafadhali.
0330143b1a5888afe03bed78fd862bd4.jpg
 
hicho ni olpc kirefu one laptop per child, ni.laptop za watoto za kujifunzia, humo ni katuni na vi app vidogo vidogo tu usitegemee kukuta cha maana cha mtu mzima.

ungeeka model tuangalie specs kama utaweza badili os
 
Mkuu hii laptop ya WATOTO- (XO Laptop) nilishakuwaga nayo kipindi fulani nililetewa kwa issue hiyo hiyo. Ni ANDROID lakini hakuna cha maana, yaani hata kuUpgrade sidhani kama itafaa, yaani ni ya kitoto toto. tena UkiRESET inaweza kufa kabisa endapo itadai LEASE ACTIVATION.
 
zipo za modified version ya linux na zipo za fork android ambazo nafkiri ni aosp.
 
Mkuu hii laptop ya WATOTO- (XO Laptop) nilishakuwaga nayo kipindi fulani nililetewa kwa issue hiyo hiyo. Ni ANDROID lakini hakuna cha maana, yaani hata kuUpgrade sidhani kama itafaa, yaani ni ya kitoto toto. tena UkiRESET inaweza kufa kabisa endapo itadai LEASE ACTIVATION.
Nataka kiplay video akitaki kina andikaMPGE 4 LAYER
 
Back
Top Bottom