mdachi mdachi
Senior Member
- Mar 9, 2017
- 118
- 138
Msaada jamani anayefahamu namna ya kuweka off screan overlay.
Kuna baadhi ya apps nikizifungua zinakataa kufunguka inanambia ni turn off overlay nimeitafuta kwenye setting hiyo overlay ili nii turn off ila nimeikosa na nimerestore zaidi ya mara mbili ila tatizo linajirudia.
Anayefahamu anisaidie tafadhali, natanguliza shukrani.
Simu ninayotumia ni Tecno w4