2mia recuva uwe kama una scan virus
Jaribu kufanya SYSTEM RESTORE, to restore your pc to an earlier time.
Jaribu kufanya SYSTEM RESTORE, to restore your pc to an earlier time.
Nimeshafanya hivyo lakini tatizo halikuisha
basi Repair your window kama unayo soft copy ya CD ya window unayoitumia.
kama hujui jinsi ya kurepair sema, na eleza unatumia OS gani.
Sidhani kama ni virus kwani softaware niliyokua nimeweka ilikua ni ya themes pack so nadhani nilipoitoa imeondoa na mafile ya windowmbona hizo zinaonekana kama virus mkuu..
Jaribu ushauri wa huyu mkuu kwanza, na hakikisha iyo point ni siku/saa kabla haujaweka iyo software ilolete haya madhara
Natumia windows 7 ultimate, service pack 1, 64 bit
nili upgrade kutoka HOME BASIC kwa kutumia keys zilizowahi wekwa humu so sikutumia CD. Nina CD ya ultimate lakini sijaona option ya ku-repair zaidi ya ku-upgrade ambayo nikiichagua inanigomea baada ya kuchevk system compatibility
Wadau naombeni mwenye ujanja wa jinsi ya kurudisha icons za local disc kama zilivyokua awali anisaidie. Kuna software niliiweka nilipoitoa ikabadilisha icons na kuonekana kama hapo chini...
Nawashukuruni sanaView attachment 78104
Mringo jaribu hii software itakuwa mzuka XPtsp.com • File Downloading
Mkuu MziziMkavu, kwanza nikushukuru kwa nia ya kusaidia lakini nikirun attrib -r -h -s autorun.inf inaniambia file not found nimejaribu kuscan pia kwa software uliyoiweka hapo napo sijaona mabadiliko yoyote...Jaribu njia hii Mkuu Mringo
- Launch a Command Prompt with administrator privileges, and navigate to the root of drive C:
- Run the following:
attrib -r -h -s autorun.infdel autorun.inf