Mambo vipi Wajuvi wa mambo, hope mko poa na mnaendelea na mapambano ya Maisha. Nimekuja kwenye kuhitaji msaada wa Ku-burn Image ya GTA4 kwenye Laptop yangu.
Changamoto inakuja ni kwamba DVD-R yangu inasoma 4.7GB aina ya Princo, Image ya GTA ni 4.3. tatizo linakuja nikifungua ASHAMPOO BURNING STUDIO nikienda kwenye ku-burn image haitokei.
Nimeambatanisha na Picha ya Image ya GTA 4 ambayo nikienda kwenye Folder lake kwa ajili ya ku-Burn haionekani. Penye wengi kuna wengi, nahitaji msaada katika hili.