Msaada wa kiufundi

Brother P

Member
Mar 23, 2011
10
1
Nilitumia adapter tofauti kwenye kompyuta yangu tangu hapo imekataa kuwaka,je ni kifaa kipi kitakuwa kimeharibika?kwa yeyote anayefahamu mafundi wa kompyuta wa kuaminika wanaopatikana dar naomba anipatie namba za simu.
 
Power supply itakuwa imekufa au na worst case itakuwa ni Ubao mama (mother board) wote umeharibika

So tafuta mtaalam apime kama ni power supply ya laptop inayosambaza umeme kwenye motherboard na vifaa vingine ndo imeharibika. Then utaireplace.

NB.
Ngoja niongoze inawezekana sijaeleweka

Moto ukitoka kwenye adaptor kabla haujasambzwa unafika kwenye kifaa kinaitwa power supply . Ukibonyeza power on button ile power supply ndo inasambaza moto sehemu mbali mbali. so hi power supply nayo imo ndani ya laptop kwenye board.

Back
Top Bottom