Wakuu poleni na j.pili nzuri iliyotulia!! Mi mwenzenu kuna kitu kinanitatiza kwenye cm yangu hii ninayotumia ni samsung galaxy !! Sasa hapa juu karibu na hv viminara vya data ikiwa on kuna kidubwana kinatokea hapo kama kijicho hv au mchoro wa jua yaani kinatokea na kipotea nimejaribu kuseting cm lakini wapi!!hv wakuu wenye utaalam na hv vitu ni nini..ili nijue isije ikwa nafanyiwa udukuzi kama ule wa kansela wa ujerumani bila mm kujua!!!