sio mchina bana. Na ina miaka karibu miwili now.tupa michina iyo
Wewe mke wake nini umejuaje kuwa ina miaka miwili?sio mchina bana. Na ina miaka karibu miwili now.
Mi ndo mwenye TV mkuuWewe mke wake nini umejuaje kuwa ina miaka miwili?
Kuepuka uharibifu zaidi, tafuta supplier wa LG hapa mjini wakuelekeze zilipo karakana zao. Lkn hapo kwa ID pameleta tabu sasa.Mi ndo mwenye TV mkuu
Wakuu salaam.
Nna TV yangu flat screen kabila ni LG imeacha kuonesha ghafla.
Sauti iko vizuri ila picha ndo haileti ipo kiza kwenye screen na picha inaonekana kwa mbaaaali. Fundi alisema ni AC ya picha ndo imeharibika. Nikatoa hela kununulia hio AC lkn ilipowekwa haikubadilika iko vile vile.
Ivi inaweza kuwa na tatizo gn? Huyu fundi anajua kazi yake kweli au anabahatisha tu?
Msaada wenu Plz.
miaka miwili tu...sio mchina bana. Na ina miaka karibu miwili now.
Ni zanziberi mkuuupo wapi
Naona double Id zinafanya kazi..
Mushi92 kufanya kuuweka tu huu uzi. Lkn ni watu wawili tofautiKuepuka uharibifu zaidi, tafuta supplier wa LG hapa mjini wakuelekeze zilipo karakana zao. Lkn hapo kwa ID pameleta tabu sasa.
Inawezekana pia. Kuna mtu aliiangalia kijujuu palepale akaniambia ivoivoHiyo imekufa taa zake au boad ya kuziwasha hizo taa
Mi ndo mwenye tatizo haswa.Na TV yako ina tatizo hili pia?
Ilikuwa na tatizo gani nijuze labda nitapata pa kuanziaMwezi uliopita nilimtengenezea mtu samsung tatizo kama lako na ikapona
Namaanisha uligundua kitu gani ndo kilisababisha hilo tatizo? Nataka nijue pa kunzia. Naona ni zaidi ya week now fundi anazingua kwa kweliIlikuwa inawaka sauti ipo picha ndio hakuna kioo kipo giza kabisa ila ukimulika na tochi utaona picha