Msaada wa kiufundi tafadhali

thA goD

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
1,941
1,844
Habari,
Kutokana na tatizo la simu yangu (galaxy note3) kutoa sauti sikio moja tu la kushoto, nimepokea maoni mbalimbali, kwamba simu yaweza pokea earphone aidha ya njia mbili au tatu, sasa ombi la kwenu tena hili hapa, ni vipi nitatambua aina hizi za earphone?


Msaada tafadhali wakuu
 
Mkuu ipo hivi.
Kuna earphones za namna mbili.
1. Mono
2. Stereo

Mono means kuna 1 track ya audio wakati wa recording na mastering soo hata unapokuja kusikiliza unasikia saut ya track moja. Pia hata katika earphone kuna ya mono ambayo inakuwa na njia mbili tu.

Stereo hii ni ya njia mbili. Au kwa maana halisi ni mono mbili zinaplya simultaneously ndo unapata sterio.
So jack ya sterio ina njia tatu thou zilitakiwa ziwe Nne. Ila kuna njia moja ya Neg au root inakuwa shared ndo zinakuwa njia tatu.

Pia unaweza ona earphone ina njia Nne. Iyo njia moja ya Nne inakuwa kwa ajili ya Microphone.


Kuhusu ww kusikia sikio moja ni hiviii.
Issue inaweza kuwa kwenye earphone port. Kama kuna kibati kimejikunja au kimepinda basi haiwez kukonect kwenye earphone yako. Soo utasikia upande mmoja ambao upo connected

Assumption II. Ni Sound driver. Nilisha wahi ku upgrade samsung S4 nikakutana na io shida. Ilitoka kitKat to Lollipop kwa custom Rom.

Solution.
Jaribu kuplay music kwa simu yako kwa Bluetooth device ambayo ni Sterio eg. Sub woofer or hata kama ni redio ya gari. Kama italia upande mmoja ujue issue ipo kwenye driver/ sound card ya simu na kama italia pande zote yaani Left na right basi ujue ishu ipo kwenye port ya earphone ya simu yako.
 
Back
Top Bottom