Website design
Member
- Sep 8, 2017
- 59
- 266
Mkuu switch model ni Accessibility setting most of times hizi ni features za walemavu, ama watu wanaohitaji msaada zaidi.Habari
Kwenye iphone kuna kitu kinaitwa switch control sasa kimetokea na sasa simu imeshaji lock nahitaji kuingia kwa passcode ila nashindwa
ukitaka kuanza kuandika passcode tu inatokea mistari ya blue kama inavyoonekana hapo chini imezunguka passcode
na nikubonyeza namba ina pop up kitu kama hiki hapa chini
View attachment 2078983
sijui namna gani nitaweza kuingia bila hili tatizo ili niende kwenye setting kuondoa hiyo switch control
shida nyingine inakujaa home button haifanyi kazi
hapa nikitaka kuslide inaniletea hiyo strip ya blue
View attachment 2078984
Msaada jama kama kuna namna yoyote
Yaani ni kama touch haisense kitu chochote
Habari

nimeeleza hapo kwenye uziBonyeza home button mara tatu haraka haraka โฆ.itatoka boss
nimeeleza hapo kwenye uzi
kuwa shida ni kwamba home button haifanya kazi
Daaaaah, broo bado upo jfm, maana kitambo sana sijaona nyuzi zako za ukweli mambo ya code, programingi nk, mpaka niliwahi kuuliza huyu jamaa alipotelea wapi,Mkuu switch model ni Accessibility setting most of times hizi ni features za walemavu, ama watu wanaohitaji msaada zaidi.
Nimecheki site Ya Apple unaweza kuiswitch off kwa kubonyeza home button mara 3 haraka haraka, ama sometime bonyeza side button mara 3 ikiwa huna Home button.
Tembelea hapa kwa maelezo zaidi
Use Switch Control to navigate your iPhone, iPad, or iPod touch - Apple Support
Use Switch Control to control your iPhone, iPad, or iPod touch using a single switch or multiple switches.support.apple.com
Kheri mkuuDaaaaah, broo bado upo jfm, maana kitambo sana sijaona nyuzi zako za ukweli mambo ya code, programingi nk, mpaka niliwahi kuuliza huyu jamaa alipotelea wapi,
๐๐ข ๐๐ก๐๐ซ๐ข ๐ฅ๐๐ค๐ข๐ง๐ข ๐ฆ๐ค๐ฎ๐ฎ
Pamoja sana mkuuKheri mkuu
Habari
Kwenye iphone kuna kitu kinaitwa switch control sasa kimetokea na sasa simu imeshaji lock nahitaji kuingia kwa passcode ila nashindwa
ukitaka kuanza kuandika passcode tu inatokea mistari ya blue kama inavyoonekana hapo chini imezunguka passcode
na nikubonyeza namba ina pop up kitu kama hiki hapa chini
View attachment 2078983
sijui namna gani nitaweza kuingia bila hili tatizo ili niende kwenye setting kuondoa hiyo switch control
shida nyingine inakujaa home button haifanyi kazi
hapa nikitaka kuslide inaniletea hiyo strip ya blue
View attachment 2078984
Msaada jama kama kuna namna yoyote
Yaani ni kama touch haisense kitu chochote
Mkuu switch model ni Accessibility setting most of times hizi ni features za walemavu, ama watu wanaohitaji msaada zaidi.