Msaada wa kiteknolojia

Msaada wa kiteknolojia

mwanaharakatihalisi1

Senior Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
107
Reaction score
25
Habari waungwana kama kuna mtu ana program za kuchakachua modem za HUAWEI na ZTE naomba aniwekee hapo chini nizibebe maana kutumia Line moja kumenishinda nakuwa sooooo LIMITED.
Akhsanteni
 
Habari waungwana kama kuna mtu ana program za kuchakachua modem za HUAWEI na ZTE naomba aniwekee hapo chini nizibebe maana kutumia Line moja kumenishinda nakuwa sooooo LIMITED.
Akhsanteni

sema unatumia modem gani?kwa sababu kila modem ina ujuzi wake na kama ni modem kama e153,e173,e303 na zte mf 190..basi search humu humu jf utazipata...lkn kuna nyingine zinataka ujuzi...so usi force ,,,usije haribu...vinginevyo tafuta m2 hakuchomoe chochote
 
sawa mkuu mimi hiki kimodem ni cha tigo ni huawei. Jamaa wa huku kwetu wameshindwa kukichakachua wanasema ingekuwa ZTE sawa
 
Back
Top Bottom