Msaada wa Kitaalamu

Kuna solution ya kusafishia DVD kwa kutumia sponge waliokuwekea. Jaribu kuisafisha huenda ni alama za vidole au uchafu mwingine. Lakini unaweza pia kutumia kitambaa safi chenye unyevu ikiwa ni njia ya kienyeji kidogo lakini muda mwingine inafanya kazi. Ila kama hiyo disc imekaa sana na kuna uchafu
uliogandia sana inaweza kuwa vigumu kuisafisha na inabidi kutafuta nyingine.
 
Ninashukuru mno kwa maarifa
haya. Nitayazingatia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…