star times
Hapana usimdanganye mwenzako! This is the most hopeless miss chaga!
Mmmh mi situmii ila nasikiaga matangazo tu
Miss Chagga, you should never trust these adverts in the Tvs, Radios and the like! Hawa wanafanya biashara particularly kwa nchi kama Tz !
Chukua Azamu TV au Zuku zinakamata bila shida ila kama ni mpenzi wa soka Azam TV ndio habari ya mjini