Msaada wa kisheria

utafiti

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
12,797
0
Habari zenu wanajf.
Ni sababu zipi zinapelekea mtu kupoteza uraia wa Tanzania? Mtu amekaa nje ya Tanzania zaidi ya miaka 10 inaweza kuwa sababu uraia wake kupotea? Ni sababu zilipi zilizopo kwasasa kuhusu wazaliwa wasioishi Tanzania? Mtu alie na uraia wa nchi nyengine nae inakuaje kwa sheria za Tanzania?
 

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,150
2,000
Unaweza kuishi miaka mingi ndani ya nchi ya Tanzania lakini si mtanzania. Mfano Ukimbizi waweza kuwa chanzo. Wapo watu wengi tu wanaishi kiujanja ujanja ila si wananchi wa Tanzania.
Pia unaweza kuishi miaka mingi nchi za watu lakini ukabaki kuwa Mtanzania kwasababu eiher ya kutopata uraia nchini humo.
Uraia unaweza kuisha kwasababu ya 1.Foreign marriage.
Mtu anaamua kwenda kuolewa na muingereza na anabadili uraia.

2. Kuomba uraia nchi zingine.
Wengine uhama nchi na kuomba uraia huko.

Sababu nyingi hufanya watanzania kuishi nchi zingine kama
1. Hali ngumu ya maisha ya Tanzania
2. Kuhusudu nchi za wenzetu
3. Sababu za kikazi
4. Masomo nk...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom