Msaada wa kisheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kisheria

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mutta, Apr 18, 2012.

 1. Mutta

  Mutta Senior Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni muathirika wa MABOMU ya G'LAMBOTO wa kuumia na kuvunjika Mguu.Mpaka leo serikali haijatulipa.Je naweza kuipeleka serikali Mahakamani.
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Jibu ni ndiyo.Ili mradi isipite miaka mitatu baada ya tukio lenyewe
   
 3. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nenda mkuu peleka mahakamani upate haki yako.Andaa ushahidi wa kutosha.
   
Loading...