Msaada: Je kama muajiri ataendelea kunilazimisha nifanyeje?

hoyugi

Member
Jul 3, 2013
73
12
Nimeajiriwa kwenye compuny mwaka 2014 na kila mkataba wangu ulipokuwa unaisha nimekuwa nikipewa barua ya kuuendeleza huo mkataba mwaka huu nimepata promotion ya kupandisha cheo kidogo. Baada ya kupewa barua ya nyongeza ya mshahara na barua ya kuendeleza mkataba GM wangu akawa ameondoka katika Compuny.

Acting GM ananitoa katika kitengo changu na kuniamisha katika kitengo ambacho hakiendani kabisa na kazi ambazo nimekuwa nikizifanya miaka yote. Nimeandika barua ya kuto kukubaliana na uhamisho huo maana sina malengo na hicho kitengo kipya. Je kama muajiri ataendelea kunilazimisha nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom