Mkuu sidhani kama sheria inajali mambo ya kanisa,
kisheria talaka ni mpaka pale mtakapoandikishiana talaka (divorce) basi, na sio kutengana, hata mkitengana miaka 50 bila kupeana talaka nyie bado ni mume na mke
mkiwa mmetengana bila kupeana talaka bado mtakuwa kwenye ndoa halali mpaka utakapompa talaka.
Ndoa itakuwa presumed kuwa imevnjka bila kutoa talaka ikiwa tu mmoja wao hajulikan aliko kwa mda mrefu skumbk mda vzur lakn n zaid ya miaka mitano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.