Msaada wa kisheria juu ya usombaji taka

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,936
4,347
Ninapoishi huku Tegeta kuna jirani zangu wanalipa 3000\= kwa mwezi. Wengine wanalipa 5000\”=. Ila hawa jamaa wananibana kila mwezi eti nitoe 15,000/=.

Nikijaribu kukataa wananiambia gari ikipita wataacha taka zangu nje. Mwenye uelewa juu ya ulipaji taka Wilaya ya Kinondoni naomba anijuze.

Nahisi kama nafanyiwa dhulma!
 
Back
Top Bottom