Msaada wa kisaikolojia unahitajika

Asante sana.
Kuhusu marehemu mpk process za mirathi mimi ndo nilimsaidia
 
Brother you said it all.
Taken
Asante sana na ubarikiwe mno.
 
Fanya mazoezi,move on mzee,
Kunguru afugiki,unataka ushauri gani tena?
All in all ushapigiwa sana....
Amua sasa hata tukikushauri mpaka kesho la zaidi sikiliza moyo wako,ukiamua kuendelea ni shauri yako
[emoji120][emoji120][emoji120]nawaelewa sana wakuu
 
Asante sanaaa[emoji120]
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nimejifunza mkuu
 
 
Brother, nimekuelewa sana.
NEVER NEVER AGAIN!!!
 
Pata Chai ya Rangi ya motoooo Vikombe Viwili...
Utakuja kunishukuru badae
 
Jambo zuri la kushukuru taa nyekundu imewaka mapema,sisi wengine tulioa kabisa na kuambiwa baba mtoto alipokimbilia sipajui maana kaniacha na mimba.

"Kumbe jamaa kajisogeza yupo jirani,maisha haya ndugu zangu???"""
[emoji33][emoji33][emoji33]
 

man, at age of 34yrs bado unateseka na ishu hizo!!!

sio kweli, unapoenda karibu sana kuliko ulipotoka acha kuwaza hao viumbe kwa namna iyo, havipendeki ivyo viumbe...

34yrs ingia kwenye mahusiano mapya ki machale la sivyo yatakukuta mambo km hayo ambayo ulitakiwa uyapitie ukiwa 18-25 umri ambao utakuwa unayo time ya ku recover, ila kuteseka na mapenzi ktk umri huo basi utakuwa unajikosea heshima mwenyewe
 
Nimekusoma rikiboy mzee wa kimasihara, leo umekuwa serious bro.
Nimekuelewa sana
 
USIJIBUUU NA AKIJA MTIMUEEE... mkuu usiwee falaa aiseeee mwanamke akijua unampenda ndo atakufanya wee zezetaa acha ujingaa yani Mkazie hasaa usimjibu wala kupokea simu ana akija mtimue
Nimebadili kabisa kitasa cha mlango na ninarudi mida mibovu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…