Msaada wa kisaikolojia unahitajika

Kijana tafuta mwanamke mwingine huyo sio wako bado hajajua anataka nn,mwanamke haujamuoa anachepuka waziwazi si ndio utalea na watoto sio wako wapo mabinti ambao hawajazaa wengi labda kama na ww una mtoto ila epuka kuoa mwanamke mwenye mtoto kama wewe hauna usiangalie sura na umbo kwenye mambo ya muhimu kama kuanzisha familia,huyo ni kiazi hata ukimuoa atakusumbua umri huo unachepuka kizembe na una mtu ana malengo naye kama Vibinti vya miaka 22
 
Kijana umechelewa sn kuoa ngoja upigwe matukio wenzako umri huo mapenzi ya hivo hatuyawazi tena tunawaza ada na kuendeleza miradi ya familia mapenzi sio kipaumbele tena ni pesa tu.
 
Kijana umechelewa sn kuoa ngoja upigwe matukio wenzako umri huo mapenzi ya hivo hatuyawazi tena tunawaza ada na kuendeleza miradi ya familia mapenzi sio kipaumbele tena ni pesa tu.
Open the door [emoji376][emoji376]
 
Maumivu hayo ni ya muda tu, yatatoweka kisha maisha yanaendelea.

Swali la kujiuliza; umeshathibitisha kuwa huyo CHUDA ni malaya ambaye amekuchanganya wewe na mwanaume mwingine....akitejea kwako hapo utamkubalia muendeleze penzi lenu kama ilivyokuwa?

Kumbuka: usioe / kuolewa kwa kumuonea huruma , sema na moyo wako
 

Kenge wewe. Mwanaume kuachwa siyo ishu ya kuja kutulilia hapa eti mwana saikolojia.

Hapo ulipo una uwezo wa kuwa na pisi hata 10 kwa mkupuo, badala ya kumlilia single mother, ingia chimbo, opoa kabinti kabichi maisha yaendelee.

Ukiendelea kumpa huyo mama nafasi ya kukutesa hisia kisa kaondoka utapoteza dira ya maisha.

It is tough, it is devastating, it is painful but you got to let her go. Put on a strong face, do not in any way look for her, just ignore as much as you can and focus on yourself.

It will be fine.
 
Nimefarijika pia mkuu
 
Kwanza mshukuru Mungu!

Unataka kuoa mwanamke mwenye Mtoto KWA ndoa kabisa we jamaa Ili iweje!!?

We hapo ulipo una Mtoto!?ambaye utafanya naye kolabo!?

Kama upo single na huna Mtoto why ukomae na mwanamke MWENYE Mtoto!?

Miungu na mizimu ya kwenu imekusaidia Sana kijana!shukuru sana Mungu!

Unajua madhara ya kuchukua mwanamke aliezaa tayari nje na wewe huna experience ya kulea au kuwa na Mtoto!???

Alijichanganya mdogo wangu mmoja hivi timbwili lipo anza ndio akanambia mke alienae ana Mtoto na mzee anajua!niliwaka kishenzi yaani Acha KABISA!nikawauliza KWANINI mlificha !eti watu walipendana wao KWA wao hakuna haja ya kuingilia!nikawaambia upendo pekee sio sababu kuu ya kuingia kwenye NDOA!niliwamaind kichizi Hadi leo nikawaacha na ujinga wao usiotibika!!!

Unapokua fresher start with a fresher and vice versa is true!!!!

I rest my case!
 
Usharuri wa nyota tano huu
 
Sasa mtaalam ulikuwa unakimbilia kuoa tena singo mama ili ugundue nini?

Punguza spidi mtaalam, relax, totoz zipo nyingi. Tafuta mwingine ila wazo la kuoa litoe kwanza. Usije kimbilia kuoa ukahisi unamkomoa singo mama kumbe unajikomoa mwenyewe.

Mwisho usirudie kosa la kumpenda sana na kumuamini mwanamke yoyote, tutakuzika mapema mtaalam.

Over and Out.
 
Pole mkuu, binafsi nakuelewa vyema.

Pata mtu unaemuamini na kukuelewa zungumza nae kuhusu hili.

Ushauri wangu achana na huyo mwanamke, futa kila kumbukumbu uliyo nayo kwake, moyo utauma sana ila jikaze hili litapita usifanye kosa kumrudia, narudia usifanye kosa kumrudia.
 
How old are you son?

Mambo mengine hayahitaji ushauri...

Nenda bar hapo nunua K Vant, bugia.

Ukiona mchuchu mzuri piga nao stori, ukikielewa nenda nao home ukapunguze protini mwilini

Kila siku wazee tunawakumbusha vijana, Moyo kazi yake ni kusukuma damu, mapenzi tumieni akili.

Tatizo hamtaki kutusikia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…