Kioo cha samsung TV inch 43 smart kinahitajika

May 15, 2016
46
13
msaada jamn tv yangu imevunjika kioo ni samsung smart inch 43.naweza pata wapi na kwa bei gani? Msaada hapo.

Screenshot_20210402-210047_GBWhatsApp.jpg
 
Ni bora utafute TV mpya tu, kama mfuko haujakaa vibaya bora ununie TV used
 
Back
Top Bottom