Msaada wa Kioo cha Tecno Phantom AIII

Msaada wa Kioo cha Tecno Phantom AIII

Anko Sam

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2010
Posts
3,254
Reaction score
908
Natafuta kioo (Screen touch) cha Tecno Phantom AIII (aka M9). Mwenye nacho anijulishe tufanye biashara. Simu yangu ilidondoka ikapasua kioo kikawa hakisense chochote ninapokigusa.
 
huu ni msala mkuu, kwa maduka ya tecno bado hawajaleta spare za hiyo simu, labda kama upo dsm jaribu kutembelea branch office ya tecno wanaweza kukusaidia
 
Natafuta kioo (Screen touch) cha Tecno Phantom AIII (aka M9). Mwenye nacho anijulishe tufanye biashara. Simu yangu ilidondoka ikapasua kioo kikawa hakisense chochote ninapokigusa.

pole sana mkuu,a3 tatizo ni kubwa mno so kuidondosha ni rahisi sana.ukubwa wake ulinikera nikashindwa kuinunua
 
ebay lazima utakipata
ooooooh sorry kumbe ni Tecno.
 
Na mm nahitajiii kioo cha motorola droid razr xt912 alienacho anaweza akanitafuta tukafanya biashara
 
unajua sometime simu zinakua zinaingiliana na simu nyengine. fungua simu yako kama huwezi kufungua nenda kwa fundi akufungulie akupe kioo mkononi na mkanda wake nenda madukani zunguka. pitia maduka haya.
-sapna lipo posta
-kwa rich lipo uhuru na agrey
-kwa mhindi lipo agrey

ukifika wao wakiangalia kioo tu watajua kama wanavyo kwa kuangalia mkanda na ukubwa wakioo.
 
Vp mkuu bei zake zinaendaje.... maaNa naskia vioo vya android viko juu saNa
 
inategemea ukubwa na quality ya kioo vipi vya elfu 20 hadi laki 3

Unaifahamu vizuri motorola droid razr xt912... sitakiii cha quality saNaa maaNa kilE original sidhan kama nitaweza bei yake mkuu..... hope cha 50k kitakuwa vizuri
 
kaka hujanielewa.

nikisema kioo cha quality simaanishi kwamba unaweza kuchagua quality nzuri na ambayo sio nzuri. namaanisha quality ambayo ipo kwenye specs za simu.

mfano wewe simu yako ni
-super amoled
-qhd 540x960
-4.3 inches
-gorilla

kwa kukisia kitakua around 80,000 hadi 130,000 sababu quality yake ni nzuri.
 
Nimekuelewaa mkuu.... nimei miss saNaa simu yangu next week nitakuwaa kkoo kukitafuta hicho kioo....
 
kaka hujanielewa.

nikisema kioo cha quality simaanishi kwamba unaweza kuchagua quality nzuri na ambayo sio nzuri. namaanisha quality ambayo ipo kwenye specs za simu.

mfano wewe simu yako ni
-super amoled
-qhd 540x960
-4.3 inches
-gorilla

kwa kukisia kitakua around 80,000 hadi 130,000 sababu quality yake ni nzuri.

Mkuu cha tecno p3 vipi naweza kupata.
 
Back
Top Bottom