Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,241
- 86,942
Unanitafutia ban nyokoo wewe 😹😹😹Kimewaka 🔥
Unanitafutia ban nyokoo wewe 😹😹😹Kimewaka 🔥
We naweAende akiwa msafi
Mwenye kisu kikali ndio mla nyama au siyo 😂Njoo kwangu basi dish langu lipo timamu mtani wangu Mbaga hatomaindi
nafuta nambako sasaiv 😂Nisamehe boss 😔
Nimeacha 😂Unanitafutia ban nyokoo wewe 😹😹😹
Wewe na mbaga mna tofauti gani? 😹😹😹Njoo kwangu basi dish langu lipo timamu mtani wangu Mbaga hatomaindi
Wewe baki kwa aunt, na December nampa funguo za gariMwenye kisu kikali ndio mla nyama au siyo 😂
Bhana usifute namba yangu, napenda wasap status zako zilivyo za moto afu kile kigauni cha jana 🔥nafuta nambako sasaiv 😂
Mxiewwww vijana wa Arusha wote wadudu tyuu.!! 😹😹😹Mm sio mhuni babe, mm n muimba kwaya kanisani kwetu
Kibuyu weweWewe na mbaga mna tofauti gani? 😹😹😹
Eh labla funguo za gettoWewe baki kwa aunt, na December nampa funguo za gari
Mm sio wadudu japokuwa nna dyudyu 😎Mxiewwww vijana wa Arusha wote wadudu tyuu.!! 😹😹😹
We jishaue 😹😹Nimeacha 😂
Kumbe hadi namba mnazoBhana usifute namba yangu, napenda wasap status zako zilivyo za moto afu kile kigauni cha jana 🔥
Chukua million 20 weka UTT hizo risk nyingine unazoziwaza zipo kila mahali, then kwenye million 30 inayobaki chukua million 20 fungua ofisi ya wastani ya printing and branding.Habari yako mwana jf
Baba yangu alibahatika kuwa na mali nyingi sana na kwetu tumezaliwa wachache watu wa nne tu,
Sasa mzee ili kuondoka utata ameamua kugawa mali ingali yupo hai Mimi nimepata mgao wa nyumba ya kuishi pamoja na kiasi kama million 50
Kwa upane wa elimu nina degree ya agribusiness kutokea SUA
Pia binafsi sina background yoyote ya kufanya biashara maana mda mwingi nimetumia shuleni
Niliwaza hii pesa niiweke UTT baada ya kuisoma na kuifatilia Sana lakini changamoto inakuja nahofia usalama wa pesa yangu huko UTT hasa hasa kwenye nchi yetu hii ambayo kiongozi anaweza amua chochote mda wowote.
Naombeni ushauri je naweza anzia wapi katika uwekezaji.
Na je UTT ni salama mathalani kwa miaka 30 ijayo. Umri wangu ni miaka 25.
Pia ningeomba Kwa wenye kujua zaidi ni mkoa gani au eneo gani Tanzania ni zuri Kwa mtu mwenye mtaji kuanza biashara na biashara ipi inaweza kuwa na rejesho zuri.
Asanteni
😹😹😹 ww na mbaga wote vibuyuKibuyu wewe
Nyumba ghali kuliko gari ujueEh labla funguo za getto
Khaah 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾 hujawah kua na akili,,mimi na magauni wap na wapiBhana usifute namba yangu, napenda wasap status zako zilivyo za moto afu kile kigauni cha jana 🔥
Sawa na usiniite tena😹😹😹 ww na mbaga wote vibuyu
😹😹😹 nouma sana.!!Kumbe hadi namba mnazo