Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,666
- 23,884
Kwann ku top up simu mam..nyong'odeNdio, unajipa zako gonjwa zito na kujiliza kwingi wana watajitoa tu, kumbe unataka kutop up simuš
Kwann ku top up simu mam..nyong'odeNdio, unajipa zako gonjwa zito na kujiliza kwingi wana watajitoa tu, kumbe unataka kutop up simuš
Hata kama ni kitu kingineKwann ku top up simu mam..nyong'ode
Maisha yapo speed mtumie kijana afu tanoHata kama ni kitu kingine
Sina mia, mbusti basiš„±Maisha yapo speed mtumie kijana afu tano
Samahni dada, naomba umnunulie odo wako chakula hatujala samahni lknSina mia, mbusti basiš„±
Si rahisi kupata msaada hivi kwa mwanaume ila angekua ungeona atakavyosaidiwa!Habari za wakati za mchana huu ndugu zangu na hope mko katika mihangaiko yenu ya kutwa nzima
Nina jambo langu ndugu zangu week kama ya pili inaanza leo viungo vyangu vya kiume sijui ni UTI AU kitu Gani, dalili ni hizi napata kunaungua, muda mwingine kama Kuna viwembe ndani kama vinakata, pia muda muwasho ndani ya muwasho naskilizia, tu naona muda nakuwa sawa muda vinaamka
Nakunywa maji ili nione Hali itakuwaje pia kingine sijashiriki siku nyingi Nina mtu mmoja jinsi ya kike Mimi kiasi sio mtu wa kurukaruka sijui huko mara huko nimetulia nae tu nae hayupo kwa Sasa, pia kupima Sina fedha ya vipimo Wala ya dawa naomba msaada wenu wa kifedha ndugu zangušš
0656351446 Ema
Mtakula hata kesho kwani nani alishakufa kwa kulala njaašSamahni dada, naomba umnunulie odo wako chakula hatujala samahni lkn
Hana pesa hata ya kununua hiyo mizizi msaidie mwanaume mwenzio kwa kumtumia pesa! Visingizo vya potqssium havitampa unafuušSi rahisi kupata msaada hivi kwa mwanaume ila angekua ungeona atakavyosaidiwa!
wanaume tumeumbiwa mateso na kukataliwa ili tupambane kwa hasira.ila pia wanaume tuna kasumba yakusaidia wakike kisa matumaini yakupata potassium utadhani wanatusaidiaga basi kumbe wanatukumbukaga tu wakiwa na shida zingine!
Wanaume tunakiwa tusaidiane maana ndo uanaume kuinuana.
Shida huku mitandaoni kuaminiana ngumu inaweza kua tapeli nk.
Chemsha huu mchanganyiko hata kwa viungo vichache utakavyovipata anza dozi kwa kutwa mara 2 kwa siku 7 hata kama ungekua na gono la vipi halitoboi kwa hiyo asili
Mnunulie hata odo wako tuu šMtakula hata kesho kwani nani alishakufa kwa kulala njaaš
Aje kula nimeshapika hukušMnunulie hata odo wako tuu š
Tunaish mtongani kwa azizi Aly kwako ni wapi tupe basi nauli tutaenda kula nyumbnAje kula nimeshapika hukuš
Sina ela nina chakula njoeni mle mpaka cha kesho hapa jirani na braeburnš„²Tunaish mtongani kwa azizi Aly kwako ni wapi tupe basi nauli tutaenda kula nyumbn
Ni wapi hukoSina ela nina chakula njoeni mle mpaka cha kesho hapa jirani na braeburnš„²
Hii ndiyo kitu me najua.. ila wabongo sasa..Toka uzaliwe nina imani hujawahi kupima hicho kipimo cha U. T. I
AZUMA siyo dawa ya U. T. I mkuu, tuache kukariri mambo.
Google tu utapaonašNi wapi huko
Wameshaigeuza azuma kama dawa ya magonjwa ya zinaa, wakati ni multipurpose! Ukienda kuinunua dukani unaificha kama misošHii ndiyo kitu me najua.. ila wabongo sasa..
Azuma ndio dawa naimudu kutumia nikipata nimonia, au nichague sindano..
kuna amoxclav pia kwa nimonia ila me siipendi vidonge vingi afu vikubwa kinoma
Nimechoka aseeh na ndo sijafka hata homeGoogle tu utapaonaš
Habari za wakati za mchana huu ndugu zangu na hope mko katika mihangaiko yenu ya kutwa nzima