Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,083
- 124,607
Mtumie basi boss kubwaHiyo hela ya kununua Azuma ndio hana
Mtumie basi boss kubwaHiyo hela ya kununua Azuma ndio hana
Wakuja kumchukulia ndio tatizo, ebu njoo umchukulieMtumie basi boss kubwa
Bando umetoa wapi wee angalia kama hiyo smartphone na hela za bando ni ya muhimu kuliko afya ya kiume kwakoSina fedha
Na nauli yangu ipo?Wakuja kumchukulia ndio tatizo, ebu njoo umchukulie
Kuna WI-FI ya mtu natumia mtaani tu hapaBando umetoa wapi wee angalia kama hiyo smartphone na hela za bando ni ya muhimu kuliko afya ya kiume kwako
Kuna WI-FI ya mtu mtaani natumia hapaUngeacha kununua bando huo sio ugonjwa wa kuomba kusaidiwa.
Sawa kupitia iyo Wi-fi Google UTI ikikomaa inakuwaje!Kuna WI-FI ya mtu mtaani natumia hapa
Ameshakwambia anataka pesa sio mambo ya azuma😅AZUMA pekee ndio mkombozi wako , wahi mapema kabla havijazidi , maana ukichelewa unaweza kwenda kuponea makao makuu ya AZUMA India