OGOPASA nitumie msg tuongee, naweza kukusaidia. Please explain what kind of business, jee ni start-up au teyari una mauzo, na jee mauzo yako ni kiasi gani? Jee sales forecast zako zinaonyesha ni kiasi gani utauza mwaka huu? Jee kama mtu anataka % ownership ya kampuni kwa kukupa 5Million what % of company utampa?
Nitumie majibu hayo kwenye inbox kama hutaki kuyafanya public, and kama ina make sense I will call You.