Msaada wa Kifedha

OGOPASANA

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
262
144
Habari Great Thinkers in Business Forum,
Natafuta mdau anayeweza kunikopesha kiasi cha Tsh milioni 5 ama zaidi then nimrejeshee kwa riba kwa muda usiozidi miezi minne, vigezo na masharti kuzingatiwa. Nina ofisi nategemea kufungua hivi karibuni lakini mtaji wa nilioanzia hautoshelezi mahitaji ya wateja ninaotegemea kuwapa huduma. Nimejaribu kutembelea ktk Bank nyingi na makampuni binafsi ya huduma za kifedha lakini nimekosa vigezo vya udhamini wanavyovitaka ambavyo ni nyumba na gari.

Sincerely,

0713 633 969
 
OGOPASA nitumie msg tuongee, naweza kukusaidia. Please explain what kind of business, jee ni start-up au teyari una mauzo, na jee mauzo yako ni kiasi gani? Jee sales forecast zako zinaonyesha ni kiasi gani utauza mwaka huu? Jee kama mtu anataka % ownership ya kampuni kwa kukupa 5Million what % of company utampa?

Nitumie majibu hayo kwenye inbox kama hutaki kuyafanya public, and kama ina make sense I will call You.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
wasiliana na Jibu Company, Arusha, ni kampuni ya kukopa na kukopesha kwa riba, though kuna vigezo na masharti ya kuzingatiwa unapochukua hela 0754 360757, 0784 360757, 0655 360758
 
Thanks All kwa ushirikiano, nayafanyia kazi na nitawainbox nikifanikisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom