monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,888
- 13,645
Habar ndugu wanajukwaa,naombeni msaada wa kupata sehemu yenye keyboard kwenye cm yangu ( cm ninayotumia ni cm aina ya Techno)
Asanteni!
Asanteni!
Asante sana Boss lkn,ninachohitaji ni sehemu fulani huwa zinatokea keyboards mbalimbali then unachagua unayopenda (binafsi napendelea yenye background nyeusi na maandishi meupe/black & white)Msaada wako bonyeza language input huoView attachment 1157041View attachment 1157052
Hapo ni maswala ya kudownload app kutoka playstore na sio kupata new keyboard from the phone by default...Asante sana Boss lkn,ninachohitaji ni sehemu fulani huwa zinatokea keyboards mbalimbali then unachagua unayopenda (binafsi napendelea yenye background nyeusi na maandishi meupe/black & white)
Pakua touchpal au SwiftKey kule playstoreAsante sana Boss lkn,ninachohitaji ni sehemu fulani huwa zinatokea keyboards mbalimbali then unachagua unayopenda (binafsi napendelea yenye background nyeusi na maandishi meupe/black & white)