eng. kipande
Member
- Mar 28, 2015
- 32
- 3
Salamu wapendwa, jamani kama kuna yeyote mwenye kampuni au connection ya kazi za usafi ofisini, kuuza duka nk. kuna sister zangu wawili wako wanaishi Banana-Dsm wanahuitaji sana na kazi.
Natanguliza shukrani, unaweza niPM au 0654907899 or 0684055370 nikuunganishe nao.
Natanguliza shukrani, unaweza niPM au 0654907899 or 0684055370 nikuunganishe nao.