Villanova tito
Member
- Dec 20, 2016
- 98
- 109
Nikweli mkuu kama jamaa Villanova tito amewahi kufanyanao kazi kampuni ya ccecc iliyojenga pale ubungo interchange basi awagande sana maana ndio wanaojenga sgr kipande cha Isaka to Mwanza.CCECC-Hii kampuni mkuu igande sana, hii kampuni ni main contractor kwenye mradi wa awamu ya tano ya treni ya umeme MWANZA TO ISAKA, kazi zinaanza mwezi huu nimesikia, kwa kuwa umewai fanya nao kazi kupata itakuwa simple tu.
Duu 10,000 tangazo la kazi liweke tuone position.Nikweli mkuu kama jamaa Villanova tito amewahi kufanyanao kazi kampuni ya ccecc iliyojenga pale ubungo interchange basi awagande sana maana ndio wanaojenga sgr kipande cha Osaka to Mwanza.
Mkuu Regent wafanyakazi permanent ni 3000,Duu 10,000 tangazo la kazi liweke tuone position.
Shukran mkuu sema kupata kaz kwenye haya mamirad kuna changamoto. Na hawa wachina sio kama wazungu kazi ikiisha na urafiki unaishaCCECC-Hii kampuni mkuu igande sana, hii kampuni ni main contractor kwenye mradi wa awamu ya tano ya treni ya umeme MWANZA TO ISAKA, kazi zinaanza mwezi huu nimesikia, kwa kuwa umewai fanya nao kazi kupata itakuwa simple tu.
Wanafanyaje application hukoNikweli mkuu kama jamaa Villanova tito amewahi kufanyanao kazi kampuni ya ccecc iliyojenga pale ubungo interchange basi awagande sana maana ndio wanaojenga sgr kipande cha Isaka to Mwanza.
Furthermore mradi wa Bomba la Mafuta la kutoka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania, unaanza tarehe 20 mwezi huu wa march 2021. Hivyo anaweza kwenda kujaribu pia maana wanatakiwa watu zaidi ya elfu kumi na moja, kati yao elfu tatu ni ajira za kudumu.
Kila la kheri.
Wanatumaje application mkuuNikweli mkuu kama jamaa Villanova tito amewahi kufanyanao kazi kampuni ya ccecc iliyojenga pale ubungo interchange basi awagande sana maana ndio wanaojenga sgr kipande cha Isaka to Mwanza.
Furthermore mradi wa Bomba la Mafuta la kutoka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania, unaanza tarehe 20 mwezi huu wa march 2021. Hivyo anaweza kwenda kujaribu pia maana wanatakiwa watu zaidi ya elfu kumi na moja, kati yao elfu tatu ni ajira za kudumu.
Kila la kheri.
Nimekujibu inboxWanatumaje application mkuu
mkuu wahitaji tupo wengi tafadhariNimekujibu inbox
Tafsiri halisi ya Mbongo ndio hii.... " UBINAFSI"
Sifahamu mkuu, tusubiri taarifa rasmini ya total company!mkuu wahitaji tupo wengi tafadhari
Walisema mradi ungeanza mwezi wa 4 ninajamaa yangu huko ukiwa tayali tutajulisha fursa yoyote ya kazi yenye wingi wa uitajiSifahamu mkuu, tusubiri taarifa rasmini ya total company!
Ndo Nini sasa hiviNimekujibu inbox
Soma comment zote mpaka chini,Ndo Nini sasa hivi