Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
- Thread starter
- #21
Lady niece unafanya muandiko wako wote ni bold?
bado mgeni
Lady niece unafanya muandiko wako wote ni bold?
hapo nimepata options mbili
moja unafanya manually yaani unazungushia kwa pembeni (hard copy) halafu una-scan ekesha unaituma ya ya pili kutumia hiyo programu

umeupenda au umekuboa?
kuuliza ni kukerehesha?
View attachment 141688 Kama nimekuelew, ulitaka hivi. Tumia programu iko bure kwenye computer yako inaitwa paintbrush. kazi yako ikiwa imefunguka angalia juu utaona neno paint bonyeza pale itakupa tools za kuzungushia kama nilivyofanya.
Tumia Paint Shop Pro ni app ya computer
Kwa Windows OS hiyo program huitwa Paint
Kuwa na program tu hakutoshi kumfanya mtu aweze kutimiza lengo kama la huyu mkuu hapa, inabidi apewe maelekezo pia...
Mkuu Amavubi, soma kwa makini hii tutorial hapa chini namna ya kutumia Paint Tool iliyopo katika kompyuta yako kama unatumia Windows OS...
Using Paint in Windows 7